Blog2020-02-21T14:34:08+00:00

Bazari ya Nazi

By |

Bazari ya Nazi ni mlo maarufu sana unaoliwa sana huku kwetu pwani kama chamsha kinywa. Mbaazi ya thelathini na mandazi au Mahamri 5 ivi ni chamsha kinywa tosha kabisa. Matayarisho yake nyumbani si ngumu kamwe, basi keti kitako nikuonyeshe jinsi ya kutengeneza chamsha kinywa ya kufaana. Ni mimi wenyu MWANAIDI SHISHI ukipenda niite MAMA NITILIE Vinavyohitajika [...]